Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Mtwara kwenye uwanja wa Mashujaa ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa Mtwara utakuwa mji wa viwanda na wananchi wake watapewa kipaumbele katika ajira
Magufuli promising free education to all

Wananchi wa Mtwara wakimsikiliza  Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli


Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea wa Ubunge jimbo la Mtwara Mhe.Husnein Murji mbele ya umati wa wakazi wa Mtwara mjini kwenye mkutano wa kampeni za  CCM uliofanyika uwanja wa Mashujaa


Mhe.Husnein Murji akihutubia wananchi kwenye mkutano wa kampeni za CCM kwenye uwanja wa Mashujaa


Umati wa wakazi wa Mtwara kwenye mkutano wa kampeni za CCM


Msanii Msami akionyesha uwezo wake kwenye mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika kwenye uwanja wa Mashujaa ,Mtwara mjini