Stori kubwa iliyogonga vichwa vya habari November 13 2014 ilikuwa kuhusu Sultan Kosen, raia wa Uturuki ambaye ndio mtu mrefu zaidi Duniani pamoja na Chandra Dangi Raia wa Nepal ambaye alikuwa anashikilia rekodi ya kuwa mtu mfupi zaidi Duniani walipokutana kwa mara ya kwanza Uingereza kwenye Maadhimisho ya Guinness World Record Day.
t5
Habari ya kusikitisha ni kwamba nafasi ya Rekodi ya mtu mfupi zaidi Duniani imebaki wazi kwa sasa baada ya Chandra Dangi  kufariki akiwa na umri wa miaka 75.
Baada ya Dangi kufariki sasa ni zaidi ya siku tano na bado hakuna jibu la nani atakayefikia rekodi aliyoweka ya kuwa mtu mfupi zaidi kuwahi kutokea Duniani ambapo alikuwa na Urefu wa inch 21.5.

Picha nyingine za kumbukumbu ya kukutana kwa Chandra na Sultan hizi hapa.
t1
t2