Vikosi vilivyosheheni silaha kali vimeziua maandamano katika mji mkuu wa Burkina Faso,Ouagadougou,baada ya kiongozi wa zamani wa upelelezi kuipindua serikali ya mpito iliyokuwa chini ya rais Michel Kafando hapo alhamisi.

Akizungumza kupitia runinga ya Taifa ya nchi hiyo Luteni Kanali Mamadou Bamba alisema mazungumzo marefu yanaendelea kuunda serikali itakayohusisha amani na utulivu hadi utakapofanyika uchaguzi

Hali hiyo  imevuruga mchakato wakidemokrasia uliovutia na kuwa na hamasa kubwa kwa mataifa mengi ya Afrika
Heavily armed troops crushed protests in Burkina Faso's capital Ouagadougou after a former spy chief seized power in a military coup on Thursday, derailing a democratic transition that had inspired many in Africa.
Read more at: http://www.standardmedia.co.ke/world