
Mgombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia umoja wa katiba
ya wananchi UKAWA Mh. Edward Lowassa akihutubia mamia ya wakazi wa
jimbo la Vunjo Mkoani Kilimanjaro

Mgombea ubunge wa Jimbo la Vunjo Mh James Mbatia akihutubia katika mkutano wa kampeni jimbo la Vunjo

Mh James mbatia akisalimiana na mgombea Urais Mh Edward Ngoyai Lowassa
wakati alipowasili jimboni Vunjo kwenye mkutano wa kampeni za Urais na
Ubunge

Mgombea ubunge wa Jimbo la Vunjo James Mbatia akielekea katika kampeni Vunjo mkoani Kilimanjaro

Mgombea urais Edward Lowassa akiwa pamoja na Frederick Sumaye wakielekea kuanza mkutano Vunjo, Kilimanjaro

Mbatia akipewa baraka za kimila

Palikuwa hapatoshi

Kila mtu hakutakwa kushuhudia

Tundu Lissu akimwaga sera

Edward Lowassa akiwa katika halaiki ya watu Vunjo mkoani Kilimanjaro. Picha na Chadema Blog
0 comments