Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akihutubia maelfu ya wananchi wa mji wa Songea Mjini, kwenye Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Matarawe, Songea Mjini
  UKAWA flagbearer addressing a crowed of Songea people
Mhe. Edward Lowassa akizungumza na wakazi wa Songea
Songea people promising to vote for UKAWA president Lowassa
Lowassa anafanya kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 25, 2015
Songea people listening to Hon. Lowassa as he aired out the UKAWA manifesto
People's Power
Wananchi wengi wa Songea walijitokeza kumshuhudia mgombea huyo wa urais wa Ukawa 
 
Lowassa mabadiliko, Mabadiliko Lowassa
pictures from CHADEMA  blog