Na.MARIAM ADAMS
Serikali yatoa taarifa rasmi juu ya ajali katika msikiti wa Makkah-Saudi Arabia, Mahujaji watanzania wote wako salama.
 
(baadhi ya mahujaji watanzania na kiongozi wao wakiwa. Makkha)






    Ajali hiyo ilotokea kufutiwa na mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali na kusababisha kuanguka kwa mashine ya ujenzi wa upanuzi wa eneo la Tawaf uliopo Msikiti wa makkah, na kupelekea vifo vya Mahujaji 107 na wengine takribani 200 kujeruhiwa.

Wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa. Kupitia ofisi za Ubalozi Riyadh inathibitisha kuwa mahujaji wa Tanzania wameanza kuwasili Jeddah kuelekea makkah tarehe 12 septamba 2015 wakitokea madina na kuwa hawajapokea watanzania waliopoteza maisha wala kujeruhiwa