"Nimekamilisha kila kitu, nimefanya kila kitu kwenye mchezo wangu… Umri wangu unakaribia miaka 40, hakuna nilichobakiza kwenye Ulimwengu wa Ngumi, nahitaji kutumia muda mwingi zaidi na familia yangu" Floyd Mayweather alisema baada ya pambano lake na Berto kuisha.
Mayweather amemshinda Berto na kuandika ushindi wa 49 tangu alivyoanza mchezo wa Ngumi mwaka 1996.

Berto II


Berto