Mh.Jaji Lubuva akihutubia waandishi wa habari
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi nchini Jaji Damian Lubuva amesema kuwa matokeo ya uchaguzi yatabandikwa kwa kila kituo ikiwa ni yale ya Udiwani,Mbunge pamoja na ya Urais.

Jaji Lubuva amesema kuwa kura zote zitaboreshwa na kujumlishwa katika eneo husika pamoja na kutangazwa,amedai kuwa mwaka huu wameboresha zaidi ili kila kitu kiwe wazi kwa wananchi wote.

chanzo;eatv.online