Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba fupi baada ya kupokea TuAfrica
Achiever’s Award in the Category of Good Governance in Africa,” kutoka
kwa Waziri wa katiba na Sheria Dkt.Asha Rose Migiro aliyeipokea kwa
niaba ya Rais huko Afrika ya Kusini.
Waziri
wa Katiba na Sheria Dkt.Asha Rose Migiro akisoma ujumbe maalum
uliombatana na tuzo muda mfupi kabla ya kuikabidhi Tuzo hiyo kwa Rais
Kikwete.
Waziri
wa Katiba na Sheria Dkt.Asha Rose Migiro akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya
Mrisho Kikwete tuzo maalum ya “Africa Achiever’s Award in The Category
of Good governance in Africa,” wakati wa hafla fupi iliyofanyika ikulu
jijini Dar es Salaam leo. Dkt.Migiro alimwakilisha Rais Kikwete katika
hafla ya kutunukiwa Tuzo hiyo huko Afrika ya Kusini hivi karibuni.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Waziri wa Katiba na Sheria Dkt.Asha Rose
Migiro aliyekabidhi Tuzo kwa Rais(Watatu kushoto),Katibu Mkuu Kiongozi
Balozi Ombeni Sefue(Wapili kushoto), mwanasheria Mkuu wa Serikali
Mh.George Masaju(wapili kulia), Mwenyekiti wa Tume ya Haki Za Binadamu
Mhe.Tom Nyanduga(kulia) na Naibu Katibu Mkuu Ikulu Mh.Suzan
Mlawi(kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja muda mfupi baada ya
Dkt.Migiro Kumkabidhi Rais Kikwete Tuzo ya “ Africa Achiever’s Award in
the Category of Good Governance in Africa” ikulu jijini Dar es Salaam
leo.
chanzo: Habari za jamii blog
0 comments