Anguko la soko la hisa huko bara la Asia ambapo Japan katika soko kubwa kabisa duniani la hisa limeanguka leo hii huku kukiwa na hofu ya kuporomoka kwa uchumi nchini China.
![]() |
Stock photo of the Japanese Yen and Us Dollar Symbols Credit:Shutterstock |
Soko la hisa la Japan limeanguka kwa asilimia tatu hii leo na kwingineko soko lahisa la Australia limeanguka
Wawekezaji wamekuwa na wasiwasi kutokana na kuanguka kwa moja ya masoko makubwa ambapo China imeangusha thamani ya sarafu yake hadi asilimia nane nukta tano
0 comments