Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imefanikiwa kubaini majina ya watu 52,000 kwa jumla ambao wamejiandikisha zaidi ya mara moja kwenye daftari la kudumu la wapiga kura kupitia mfumo wa Kielektroniki (BVR).
![]() |
Nembo ya Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC) |
Dk. Karia amesema kuwa wamekabidhi kwa jeshi la polisi majina ya watu wote 52,000 waliofanya kosa la kujiandikisha zaidi ya mara moja kwenye daftari la kudumu la wapiga kura kwa ajili kuchunguzwa na kuchukuliwa hatua za kisheria.Dk. Karia amefafanua kuwa watu hao wanakabiliwa na adhabu ya kifungo cha jela kisichopungua mwaka mmoja na nusu, pamoja na faini, na kuongeza kuwa tayari watu wengine 12 walishafikishwa mahakamani na kuhukumiwa kwenda jela.Chanzo: EATV
Chanzo: MwanaharakatiMzalendo
0 comments