Mgombea urais kwa tiketi ya Ukawa Mh. Edward Lowassa akiwa kwenye daladala kutazama kero za usafiri zinazowakumba wananchi kwenye barabara ya Gongolamboto kuelekea Chanika Jijini Dar
Na Raphael Ebacha