Picha za mgombea wa UKAWA kupitia CHADEMA akizungumza na wafanyabiashara wa soko la Tandale leo katika ziara yake ya kusalimia na kujionea kero za wananchi wa hali ya chini.