![]() |
| Mh.Jaji Lubuva akihutubia waandishi wa habari |
Jaji Lubuva amesema kuwa kura zote zitaboreshwa na kujumlishwa katika eneo husika pamoja na kutangazwa,amedai kuwa mwaka huu wameboresha zaidi ili kila kitu kiwe wazi kwa wananchi wote.
chanzo;eatv.online

Matokeo ya Urais,Ubunge na Udiwani kuhesabiwa katika kituo husika