Bendi ya Yamoto bendi Chini ya Mkubwa na wanawe na ile ya Malaika bendi chini ya Christian Bella zatumbuiza Usiku wa Masauti Luxury katika ukumbi wa Millenium Tower na kuwaacha waliohudhuria wakiwa na kiu ya burudani zaidi.
Bendi ya Yamoto bendi ilikuwa ya kwanza jukwaani wakitamba na vibao vyao marufu kama vile Naenda kusema kwa Mama na kile chenye mistari ya .....unarambooo....... .....nina muwa... na vingine huku wakimiliki jukwaa kwa zaidi ya masaa mawili kuhakikisha wanawaridhisha mashabiki wao waliohudhuria kwenye sherehe hio.
Christian Bella na Bendi yake ya Malaika bendi walikuwa wa mwisho kumiliki jukwaa wakiwatumbuiza halaiki ya watu kwa vibao vyao vikali kama vile Nani kama mama, Msaliti na vingine vilivyowanyanyua mashabiki wao waliohudhuria kwenye usiku huo.
wasanii wa Yamoto Bendi wakitumbuiza halaiki ya watu katika usiku wa Masauti Luxury leo.

Christian Bella na Bendi yake wakitumbuiza katika usiku wa Masauti LUxury leo.

T.I.D. Mnyama na Qchief wakipata burudani kutoka kwa bendi ya Malaika inayoongozwa na Christian Bella

![]() |
| Miss World Tanzania 2014 Happiness Watimanywa |
Hili limekuja baada ya kufunguliwa kwa mashindano ya kumtafuta Miss Tanzania na Baraza la Sanaa la Tanzania (BASATA),
Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino Agency, Hashim Lundenga leo ametambulisha mbele ya waandishi wa habari kamati mpya yenye wajumbe 12, ambayo itakuwa inaratibu mashindayo hayo kwa sasa.
| Wanakamati wakizungumza na waandishi wa habari |
1.Juma Pinto – Mwenyekiti
2.Lucas Rutta – Makamu Mwenyekiti
3.Doris Mollel – Katibu Mkuu
4.Jokate Mwegelo – Msemaji wa Kamati
5.Hoyce Temu – Mjumbe
6.Mohamed Bawazir – Mjumbe
7.Gladyz Shao – Mjumbe
8.Magdalena Munisi 0 Mjumbe
9.Shah Ramadhani – Mjumbe
10.Hamm Hashim – Mjumbe
11Khalfani Saleh – Mjumbe
12.Ojambi Masaburi – Mjumbe
Kwa upande wa Sekretariet tunao wajumbe 4 ambao ni
1.Dr.Ramesh Shah
2.Hidan Ricco
3.Yasson Mashaka
4.Deo Kapteni
Lundenga amesema kuwa kamati hiyo inayoanza kazi zake hii leo, itashughulikia mapungufu yote yaliyojitokeza na kurejesha imani ya wananchi kwa mashindano hayo ikishirikiana kwa karibu na wadau mbalimbali pamoja na Basata.
Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kutambulishwa msemaji wa Kamati hiyo, Jokate Mwegelo ametoa shukrani kwa niaba ya kamati yake kwa kuamininiwa kupewa jukumu hilo na kuahidi maboresho makubwa na mikakati endelevu ya kurejesha hadhi ya Miss Tanzania.
Msanii wa Hiphop kutoka nchini Kenyan almaarufu kama Octopizzo amegeuka kuwa mada katika mitandao mbalimbali yakijamii
hii imetokana na msanii wa miondoko ya RnB kutoka marekani August Alsina kupitia usimamizi wake kuandika katika account yake ya mtandao wa Tweeter kutoshirikishwa kwenye wimbo mpya wa Octopizzo ujulikanao kama THIS COULD BE US
Maneno kutoka mtandao wa Tweeter ya msanii huyo yalikuwa kama ifuatavyo "FROM MANAGEMENT: "The song 'Could Be Us' by Octopizzo does not feature August Alsina"-Mgmt"
Octo ambae kwa muda amekuwa na bifu na msanii mwenzake Kaligraph kwa muda sasa alionekana kutulia kwa muda huku Kaligraph akizidi panda ngazi na umaarufu wake kuongezeka
Wadau wa muziki wamesema inawezekana ikawa mojawapo ya njia zitakazomrudisha msanii huyu ambae kwa muda sasa amekuwa kimya katika kutawala Chati ya muziki wa Hiphop Kenya na Afrika Mashariki.
Kipindi hiki cha uzinduzi wa albamu yake mpya
Kwa njia hii Octopizzo amepata nafasi kusikilizwa kimataifa na wadau mbalimbali wasiomfahamu kutaka kuijua nyimbo yenyewe na msanii husika na kuongeza mauzo ya albamu yake mpya LDPC (Long Distance Paper Chasers ) ambayo amekuwa mtu wa tatu toka Afrika Mashariki kuipost kwa mtandao wa muzikiwa Jay-z wa TIDAL wengine wakiwa ni Erica na Wakazi

Bondia Mmarekani Floyd Mayweather ametumia pound milioni 3 kununua gari la kipekee
duniani. Mpaka sasa magari haya yametengenezwa mawili tu na yeye
anamiliki moja.
Floyd aka ‘Money Man’ ameweka picha hii mtandaoni akiwa na gari ya rangi
ya silver ya kampuni ya Koenigsegg. Gari hili linaitwa CCXR Trevita.
Picha iliambatana na ujumbe uliosema ‘My new 4.8 million dollar car, Koenigsegg made only two Trevita’s for the world and this is No.2 of 2.”
Mfanyabiashara
maarufu nchini na Mbunge wa Singida Mjini (CCM), Mohammed Dewji
(pichani) kwa mara ya kwanza ameingia kwenye orodha ya mabilionea 29,
akiwa tajiri kijana kuliko wote barani Afrika.
Jarida la
Forbes la Marekani limemtaja Dewji (39), katika nafasi ya 24 ya matajiri
wa Afrika akiwa na utajiri wa Dola 1.3 bilioni za Marekani (Sh2.34
trilioni) unaotokana na biashara mbalimbali anazozifanya kupitia kampuni
yake ya Mohammed Enterprises (Metl Group).“Dewji alibadilisha biashara
aliyoanzisha baba yake kutoka uuzaji bidhaa na kuwa na viwanda vya
Metl,” inasema sehemu ya habari inayomuhusu bilionea huyo Mtanzania .
“Alinunua
viwanda vya nguo na mafuta vilivyokuwa vinamilikiwa na Serikali kwa bei
ndogo na kuvifanya viwe na faida zaidi kwa kutumia mtindo wa kisasa wa
menejimenti,” inaongeza ripoti hiyo.
Metl ina
viwanda vya kutengeneza nguo na bidhaa nyingine za matumizi ya binadamu
vikiwamo vyakula, sabuni na vinywaji. Pia ina mapato yanayozidi Dola 1.4
milioni za Marekani (Sh2.5 trilioni) kwa mwaka.
Katika
kampuni hiyo, ambayo imekuwa na ushindani dhidi ya kampuni kubwa
nyingine kama Said Salim Bakhresa, Dewji anamiliki asilimia 75 ya hisa
zote.
Kwa mujibu
wa tovuti yake, Metl inaendesha shughuli za uagizaji na usafirishaji
bidhaa kutoka na kwenda nje, uzalishaji unaohusisha nguo, vinywaji na
vyakula, usagaji nafaka, nishati na petroli na utengenezaji baiskeli.
Pia inahusika na huduma za simu, fedha, kilimo na pia ina kitengo cha kontena kwenye Bandari ya Dar es Salaam.
Dewji
anashika nafasi mbili juu zaidi ya kada maarufu wa CCM na aliyekuwa
mbunge wa Jimbo la Igunga, Aziz Rostam (50) aliyewekwa nafasi ya mwisho.
Rostam
amefungana nafasi ya 26 na mabilionea wa Nigeria, Abdulsamad Rabiu na
Femi Otedola wenye utajiri wa Sh1.8 trilioni kila mmoja.
Orodha hiyo
ya 29 bora inaoongozwa na bilionea wa Nigeria, Aliko Dangote akiwa na
utajiri wa Dola 15.7 bilioni za Marekani (Sh28.2 trilioni), kiwango
ambacho ni mara moja na nusu ya bajeti ya Serikali ya Tanzania ya mwaka
2014/15.
Forbes
linamtaja Rostam kuwa na utajiri wenye thamani ya Dola 1 bilioni za
Marekani (Sh1.8 trilioni), kiwango ambacho kimebaki pasi na mabadiliko
kutoka orodha ya mwaka jana. Rostam anamiliki asilimia 35 ya hisa katika
kampuni ya huduma za simu za mkononi ya Vodacom
CHANZO: BBC.
Ladies and gentlemen I introduce to you Masterforce Music Group a trio comprising of
three East African Musical geniuses and lovers of education, currently all
pursuing degrees at different universities in Africa meet Emskillz Burudan from Tanzania ,
Amateller from Uganda and Pablo Mixworthy from Kenya ,the dedication plus love
they show for music and each other I so believed they are siblings at first
encounter. chemistry and teamwork they portray in their music makes it unique
and entertaining, the joy, determination is a clear sign no limits no boundaries for this youngsters.
The name of this urban music group gets u feeling typo way before you even get to
listen to their great sounds, there is a
chance that you start questioning what type of music they into by just the name
and their goldish super awesome logo and a symbol of excellence in the music
industry ,from the packaging of themselves there is no doubt in the
amount of professionalism and seriousness they have invested into their music. a glimpse into their Fire official Video was eye catching and brought about my craving appetite for good music..i felt a week before it was official released was like a decade but the patience has been worthwhile
![]() |
| From left Emskillz,Amateller and Pablo Mixworthy |
The video directed by the extraordinary Director Johnson Kyalo of Topnotch Filmz is Officially released and i was the first viewer of the video as premiered on youtube,and i must say as a lover of goodmusic it fits awesomely to rate the song as a #BadAssJoint #DopeVideo ... this 3heads have invented their own unique flow and ontop to it having great lyrics each proving his/her lyrical prowess on a catchy chorus 'Fire fire oh oh" this is soon to be officially Africa's biggest club anthem, Fire Official Video
HeartBeat Afrikan . Powered by Blogger.
Random Posts
Popular Posts
-
By Mariam Adams Ugali served with beef stew , Sukuma delicacy A frica is a wonderful place colored in beautiful colors of differ...
-
Ukosefu na/ama upungufu wa nguvu za kiume, ni tatizo linalo wakabili mamilioni ya wanaume duniani. Zipo sababu nying...
-
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimetangaza majina ya wanachama wake watakaogombea viti katika Bunge na Baraza la Wawakilishi na kuridhia maam...
-
Bendi ya Yamoto bendi Chini ya Mkubwa na wanawe na ile ya Malaika bendi chini ya Christian Bella zatumbuiza Usiku wa Masauti Luxury katika...
-
WAKATI Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ikiwa ndio kwanza i...
-
Stori kubwa iliyogonga vichwa vya habari November 13 2014 ilikuwa kuhusu Sultan Kosen , raia wa Uturuki ambaye ndio mtu mre...
-
Meneja Mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo wakati wa uzinduz...
-
Rais Jakaya Kikwete amemweleza Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwamba Chama cha Mapinduzi (CCM), kitashinda katika Uchaguzi Mkuu wa Ok...
-
Meneja Mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam jana kwenye mkut...

Diamond platnumz adondosha mzigo wa CCM No.1